
JEMBE JIPYA YANGA LAANZA MAZOEZI
BAADA ya kukamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Yanga, hatimaye kipa namba mbili wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza mazoezi. Ni Metacha Mnata ambaye alikuwa anakipga ndani ya Singida Big Stars iliyogotea nafasi ya pili hatua ya fainali kwenye Kombe la Mapinduzi 2023. Kwenye mchezo huo uliochezwa Januari 13, Mnata…