JEMBE JIPYA AZAM FC HILI HAPA LATAMBULISHWA

RASMI Azam FC imemtambulisha nyota mpya katikakikosi hicho ambaye ni kipa. Taarifa ya matajiri hao wa Dar imeeleza kuwa wameinasa saini ya nyota huyo kutoka Ghana, Abdulai Iddrisu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Bechem United ya kwao Ghana. Kazi imeanza kwa mabosi hao ambao waliweka wazi kuwa usajili wao utakuwa na mtikisiko ndani ya…

Read More

YANGA YAMTEMBELEA MAMA KARUME

UONGOZI wa Yanga chini ya rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said, benchi la ufundi, wachezaji pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, mapema jana Jumamosi walimtembelea mama Fatuma Karume ambaye ni mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume na kumpa zawadi mbalimbali ikiwemo jezi za timu hiyo. Hafla hiyo…

Read More

SIMBA YASHUSHA STRAIKA WA KAZI

ZIKIWA zimebaki siku saba tu kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili Januari 15, 2023, uongozi wa Simba umewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia watulie kwani mabosi wa timu hiyo wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuboresha kikosi chao kwa kushusha straika mpya. Kwenye dirisha hili dogo mpaka sasa, Simba ambao jana…

Read More

USAJILI WA YANGA KUITIKISA NCHI, ALLY KAMWE ATAMBA

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa watakaofanya. Usajili wa dirisha dogo ulifunguliwa Desemba 16, 2022 na unatarajiwa kufungwa Januari 15, 2023, huku Yanga ikiwa tayari imemsajili kiungo, Mudathir Yahya. Akizungumza na Spoti Xtra, Kamwe alifunguka kuwa: “Kwa…

Read More

LIVERPOOL WAPATA SARE KWA MSAADA WA VAR

KIKOSI cha Liverpool licha ya kupata sare bao kina kazi kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la FA dhidi ya Wolves. Kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Anfield ilibaki kidogo watunguliwe lakini VAR iliwaokoa kwa kuligomea bao la Toti alilofunga dakika za mwisho katika sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Anfield. Toti aliifunga dakika ya…

Read More

HAWA HAPA MAKIPA WALIOTESWA NA AZIZ KI

KUISHI ni mapenzi ya Mungu na kwa kila jambo anastahili shukrani, katika hili la 2023 tunasema asante. Aziz KI 2022 kawatesa makipa kutokana na mapigo yake huru na mabao yanayowapa kero makipa. Hapa kwenye mwendo wa data tunakundoshea makipa waliopata tatu kutoka kwenye miguu ya Aziz KI:- Faroukh Shikalo Kipa namba moja kutunguliwa na Aziz KI ni Shikalo wa Mtibwa Sugar, dakika…

Read More

SIMBA NDANI YA DUBAI KAMILI KWA KAMBI

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dubai ambapo kitakuwa huko kwa ajili ya kambi ya muda wa siku saba. Ni Jnuari 7,2023 msafara wa kikosi hicho ulikwea pipa na kuibukia Dubai. Miongoni mwa msafara huo kulikuwa na benchi la ufundi pamoja na viongozi bila kuwasahau wachezaji ambao wanakkazi ya kusaka ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho…

Read More