SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE MAPINDUZI CUP
BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2023 mbele ya Kocha wa mpira, Roberto Oliviera kikosi cha Simba kina kazi nyingine ya kusaka ushindi kesho, Uwanja wa Amaan. Simba imevuliwa ubingwa kwa kutunguliwa bao 1-0 dhidi ya Mlandege kutokana na makosa ya safu ya ulinzi pamoja na ile ya ushambuliaji. Mpango mzuri…