
VIDEO: UTAZAME UZI MPYA WA SIMBA 2022/23
UZI mpya wa Simba baada ya kuzinduliwa Agosti 7,2022 ulikuwa adimu kupatikana kutokana na bidhaa hiyo kuletwa kwa namba ndogo na iliwafanya wauzaji kuuza jezi moja kwa mtu mmoja pekee, lakini kwa sasa bidhaa hiyo inapatikana madukani