
MASTAA WAWILI GEITA KUIKOSA POLISI TANZANIA
KITASA wa kazi ndani ya Geita Gold, Kelvin Yondani anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi Polisi Tanzania. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 4,2022, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Sababu kubwa ya kuukosa mchezo wa leo ni matatizo ya kifamilia ambayo anakabiliwa nayo. Mbali na Yondani pia staa mwingine Ibrahim Seleman…