
MBEYA CITY HAWAPOI WATUMA UJUMBE HUU KWA VINARA WA LIGI
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, watakapokutana Februari 5 kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Mbeya City, wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 22 kibindoni huku wakiwa wameshuka uwanjani mara 13 wakiwa…