>

MAKATA AFUNGASHIWA VIRAGO DODOMA JIJI

MBWANA Makata, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji yenye maskani yake Dodoma ameondoolewa katika nafasi hiyo kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo. Mchezo wa mwisho kukaa kwenye benchi ilikuwa ni Februari 20 uliochezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma KMC 2-0 Dodoma Jiji na kufanya wapoteze pointi tatu mazima. Ndani ya michezo mitano…

Read More

KISA WAARABU MKWANJA WAONGEZWA SIMBA

AWALI uongozi wa Simba uliwatangazia wachezaji kuwapa bonasi ya dola 100,000 (Sh mil 231) katika kila mechi watakayoshinda, lakini kutokana na ugumu wa mechi ijayo dhidi ya RS Berkane ya Morocco, matajiri wa timu hiyo wameongeza mezani dola 50,000 (Sh mil 115.5) hivyo jumla mastaa hao watavuna zaidi ya Sh mil 300. Wikiendi hii Simba…

Read More

MAYELE APEWA ZAWADI YA NG’OMBE

MMOJA wa mashabiki wa Yanga, mwenye asili ya Kimasai anayefahamika kwa jina la Mauya mkazi wa Dakawa, amemzawadia ng’ombe mzima mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa na mabao 7 na kinara ni Relliats Lusajo ambaye ametupia kibindoni mabao 10. Ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana mbele ya…

Read More

LIVERPOOL YAPIGA 6-0 LEEDS UNITED

VIJANA wa Jurgen Klopp waliamua kushusha mvua za mabao mwa wapinzani wao Leeds United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England kwa kusepa na pointi tatu mazima. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Anfield ulisoma Liverpool 6-0 Leeds United. Ni Mohamed Salah alitupia mawili na yote kwa penalti dakika ya 15 na 35 huku…

Read More

FT:LIGI KUU:MTIBWA SUGAR 0-2 YANGA

UWANJA wa Manungu Complex mchezo umekamilika na ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-2 Yanga. Ni dakika ya 45+5 bao hilo lilipachikwa na kuwafanya Mtibwa Sugar wasiwe na chaguo la kufanya. Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Said Ntibanzonkiza ambaye ametumia pasi ya Feisal Salum. Hakuna timu iliyoonyeshwa kadi ya nyekundu huku timu zote mbili zikicheza kwa…

Read More

ALIWAPA TABU SIMBA ADEBAYO AKUBALI KUSAINI

WAKATI Simba SC  ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Victorien Adebayor ili kumsajili.   Adebayor ni kati ya wachezaji tegemeo katika kikosi cha Gendarmarie ambaye katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane msimu huu alifunga mabao mawili.   Katika mchezo huo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika uliomalizika kwa sare ya…

Read More

YANGA HAINA HOFU NA MANUNGU

HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga,amesema kuwa Uwanja wa Manungu ambao unatarajiwa kutumika leo kwamchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar kwao sio tatizo. Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 36, wanatarajia kukutana na Mtibwa Sugar iliyokusanya pointi 12 na zote zimecheza mechi 14.   Akizungumza na Championi Jumatano, Bumbuli alisema kila mechi wanazocheza kwao ni muhimu bila kujali wanacheza wapi kwa…

Read More

KOCHA RS BERKANE AIHOFIA SIMBA KIMATAIFA, ATOA ANGALIZO

BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza na Simba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu hiyo katika michuano ya kimataifa. Ibenge amekutana na Simba mara nne katika michuano ya kimataifa wakati alipokuwa akiinoa AS Vita ya DR Congo ambapo katika michezo hiyo amepoteza mitatu na akishinda mmoja. Ibenge kwa sasa akiwa kocha mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, anatarajiwa kukutana na Simba katika mchezo…

Read More

CHEKI MATOKEO YA MTIBWA V YANGA

LEO Februari 23, Uwanja wa Manungu unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Yanga majira ya saa 10:00. Timu hizo zimekuwa na matokeo ya kushangaza kila zinapokutana uwanjani hivyo leo dakika 90 zitaamua nani atakuwa nani. Haya hapa ni matokeo ya mechi za hivi karibuni walipokutana kwenye ligi:- Yanga imeshinda…

Read More

PABLO AWEKA REKODI KIMATAIFA DAKIKA 180

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ameweka rekodi yake kwenye mechi mbili mfululizo kuweza kufanya mabadiliko ambayo yamekuwa yakimpa matokeo ndani ya dakika 180. Katika Kombe la Shirkisho mbali na kuwa Simba ni namba moja na pointi zake nne,pointi hizo zilipatikana kipindi cha pili mara baada ya kufanya mabadiliko kwa wachezaji ambao walikuwa benchi kuusoma…

Read More