
ARTETA HOFU TUPU KISA JESUS
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta hajapenda kuona timu hiyo ikienda kwa kasi ya taratibu kuwania kuinasa saini ya Gabriel Jesus. Arteta ana hofu huenda akaikosa saini ya nyota huyo wa Manchester City ambayo ni muhimu kwake kwa ajili ya msimu ujao. Usajili uliopita Arteta alitumia pauni milioni 150 kukamilisha usajili wa Ben White,Aaron Ramsdale…