
AZAM FC HAWANA BAHATI NA MAYELE
AZAM FC hawana bahati na Fiston Mayele kwa kuwa kwenye mechi ambazo atawatungua lazima wayeyushe pointi tatu mazima. Kwenye mchezo wa kwanza mzunguko wa kwanza msimu wa 2022/23, kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 , Mayele hakufunga kwa Azam FC bali ni kiungo mzawa Feisal Salum alimtungua mabao yote mawili Ali Ahamada. Ikumbukwe kwamba kwa…