ARGENTINA YA LIONEL MESSI HIYO ROBO FAINALI

TIMU ya taifa ya Argentin inatinga hatua ya robo fainali Kombe la Dunia Qatar kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Austaralia. Kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa Uwanja wa Ahmad bin Ali mashabiki 45,032 walishuhudia burudani hiyo. Ni mabao ya Lionel Messi ambaye alikuwa nyota kwenye mchezo huo…

Read More

SIMBA YAWATULIZA COASTAL UNION MKWAKWANI

 MCHEZO wa pili mfululizo kikosi cha Simba kinafanikiwa kushinda kwenye mechi za ligi baada ya leo Desemba 3,2022 kushinda mbele ya Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, umesoma Coastal Union 0-3 Simba na wakasepa na pointi tatu mazima. Mabao ya Moses Phiri dakika ya 53 na dakika ya 60 kwa mkwaju wa penalti yalifungwa…

Read More

HAWA HAPA MASTAA WA YANGA WATAKAOIKOSA PRISONS

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons kuna baadhi ya nyota wa Yanga ambao wataukosa mchezo huo. Kwa mujibu wa Cedrick Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapo ambao wataukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali. “Dickson Job ana adhabu hatakuwepo kwenye mchezo wa kesho, Jesus Moloko na…

Read More

COASTAL UNION 0-0 SIMBA

MILANGO ni migumu kwa timu zote mbili ambazo zinasaka pointi tatu pale Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Ubao baada ya dakika 45 za mwanzo kukamilika umesoma Coastal Union 0-0 Simba. Coastal Union wao hawana matatizo kuingia ndani ya 18 bali wanafanya majaribio wakiwa nje ya 18 kupitia kwa Majimengi amaye anawapa tabu mabeki wa Simba. Simba…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA V COASTAL UNION

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba anarejea nyumbani Coastal Union lakini leo hatakuwa kocha wa Coastal Union bali atakuwa kwenye benchi la Simba. Simba inasaka pointi tatu ambazo Coastal Union nao wanazihitaji pia na hiki hapa kikosi kitakachoanza kwa upande wa Simba kuikabili Coastal Union namna hii:- Aishi Manula Mohamed Hussein Joash Onyango Shomari Kapombe…

Read More

KIUNGO WA KAZI AREJEA SIMBA, BEKI USHIRIKINA WAMPONZA

WAKATI Augustino Okra akirejea kikosi cha Simba anapishana na mwamba Gadiel Michael ambaye atakosekana kwenye mechi tatu za ushindani ndani ya Simba. Okra alipata maumivu kwenye mchezo wa ligi uliopita dhidi ya Mbeya City na alikosekana kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania. Kwa sasa yupo fiti na alikuwa sehemu ya wachezaji waliofanya mazoezi ya mwisho…

Read More

NYOTA HAWA SIMBA KUPIGWA PANGA

INAELEZWA kuwa miongoni mwa nyota ambao wataachwa ndani ya kikosi cha Simba hivi karibuni ni pamoja na beki wa kazi Mohamed Ouattara. Huyo nibeki wa kati wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wanatajwa kuwa kwenye mpango wa kuondolewa kikosini hapo kutokana na kushindwa kuonyesha makali yake. Mbali na beki huyo ambaye alikuwani chaguo la…

Read More