
SIMBA WANAHITAJI USHINDI KWENYE MECHI ZAO
JOHN Bocco nahodha wa Simba ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kupata matokeo kwenye mechi zote wanazocheza. Mchezo ujao wa Simba ni dhidi ya Tanzania Prisons unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Sokoine Mbeya ulisoma Tanzania Prisons 0-1 Simba ambapo bao la ushindi lilifungwa…