
INONGA, ZIMBWE,KAPOMBE WAPEWA ZIGO ZITO SIMBA
INONGA, Zimbwe, Kapombe wapewa zigo zito Simba
INONGA, Zimbwe, Kapombe wapewa zigo zito Simba
GWIJI wa soka wa England na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdind amekiri kuwa nahodha wa Argentina, Lionel Messi alikuwa katika kiwango bora juzi Jumatano kwenye mchezo wa Kombe la Dunia. Jumatano timu ya taifa ya Argentina ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Poland katika mchezo wa Kombe la Dunia na kufuzu hatua ya…
Kocha wa klabu ya Young Africans SC, Nasreddine Nabi amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wa mchezo wa kipigo cha 2-1 cha klabu hiyo dhidi ya Ihefu FC. Nabi aliendelea kufanya kitendo hicho hata baada ya kuonywa…
Mchezaji Simba SC, Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4:25 asubuhi ya siku ya mchezo wa sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City kwa kile alichoeleza alitaka kukagua kiwanja. Licha ya walinzi wa uwanja huo kumzuia Gadiel (ambaye…
VIJANA wa Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongalakwa sasa wapo kwenye maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara zinazofuata ndani ya Desemba,2022. Chini ya Ongala kwenye mechi 7 ambazo amekiongoza kikosi hicho hajapoteza mchezo akiwa amekusanya clean sheet nne bila kuambulia sare. Kituo kinachofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania, Desemba 5, Uwanja wa…
MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa Polisi Tanzania umebainisha kuwa umefikia hatua hiyo baada ya kuwa na mazungumzo ya muda mrefu na kocha huyo. Msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, Polisi Tanzania haijawa kwenye mwendo mzuri ambapo mchezo wake…
MWAMBA Hakim Ziyech nyota wa timu ya taifa ya Morocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wakati timu hiyo ikiibamiza mabao 2-1 timu ya taifa ya Canada. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Thumama mbele ya mashabiki 43,102 Canada walifungashiwa virago mazima wakigotea nafasi ya nne. Bao ambalo walilipata ilikuwa ni kupitia kwa nyota Nayef…
KUTOKANA na timu ya Japan kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Hispania, mchambuzi wa masuala ya michezo ameomba Shirikisho la Soka Duniani, FIFA kufanya uchunguzi kuhusu saka la mpira wa pasi ya mwisho ulioleta bao la ushindi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Khalifa wakati ubao ukisoma Japan 2-1 Hispania…
Kazi kwisha, Inonga ashusha mashine mpya Simba, mastaa Yanga waapa kupeleka maafa ndani ya Championi Ijumaa