MANE KUTIBIWA NA WAGAGA ACHEZE KOMBE LA DUNIA

INAELEZWA kuwa Senegal ipo tayari kuwatumia hata waganga wa kienyeji kuhakikisha nyota wao Sadio Mane anapona na kushiriki Kombe la Dunia ambalo linatarajiwa kuanza Novemba 20,kule Qatar. Mane yupo kwenye hatihati ya kukosekana kwenye Kombe la Dunia baada ya hivi karibuni kuumia akiwa na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo dhidi ya Werder Bremen. Katibu…

Read More

ASTON VILLA WAINYOOSHA BRIGHTON

MASHUTI mawili yalipigwa kwenye lango la Brighton na wapinzani wao Aston Villa na hayo yote yalijaa nyavuni. Uwanja wa Falmer ulisoma Brighton 1-2 Aston Villla kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao ulichezwa Novemba 13. Ni mabao ya Danny Ings aliyefunga dakika ya 20 kwa mkwaju wa penalti na lile la pili alifunga mwenyewe dakika…

Read More

MGUNDA KUIFANYIA KAZI SAFU YA USHAMBULIAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amekiri kuwa wanatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi ambazo wanacheza lakini tatizo lipo kwenye kuzitumia nafasi jambo ambalo linafanyiwa kazi.  Safu ya ushambuliaji imetupia mabao 19 na kinara ni Moses Phiri mwenye mabao matano na pasi mbili za mabao. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Big Stars,Phiri alikosa nafasi…

Read More

JUKUMU LA KULINDANA NI MUHIMU KWA WACHEZAJI

WACHEZAJI wengi wamekuwa wakishindwa kukamilisha dakika 90 kwenye mechi ambazo wanacheza kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Hii inatokana na mikimbio ambayo wanaifanya na wakati mwingine ni kutokana na mwili kutokuwa sawa unahitaji mapumziko yote yanatokea. Lakini pia wakati mwingine wachezaji wanashindwa kukamilisha dakika zote 90 ama zile ambazo watapewa kutokana na kupewa…

Read More