KIUNGO WA KAZI CHELSEA KUSEPA BURE

KIUNGO wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ameripotiwa huenda akaondoka klabuni hapo bure kabisa mwishoni mwa msimu ujao kutokana na kumalizika kwa mkataba wake na kutokuwepo kwa maendeleo yoyote kwenye mazungumzo ya mkataba mpya. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Habari za michezo Fabrizio Romano amebainisha kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo huyo raia wa Ufaransa…

Read More

KELELE ZA MASHABIKI ISIWE SABABU WAAMUZI KUBORONGA

KELELE za mashabiki uwanjani zina raha yake lakini hazipaswi kuwa kigezo cha kuwapa presha waamuzi kufanya maamuzi ambayo ni maumivu kwa wengine. Kumekuwa na mwendo ambao haufurahishi kwa waamuzi kufanya maamuzi ambayo wanayajua wao wenyewe huku wakipewa shinikizo na mashabiki. Hakuna suala hilo kwenye kazi hasa ambayo inasimamia taaluma ndani ya dakika 90 kikubwa ni…

Read More

AZAM FC KUIKABILI IHEFU

 AZAM FC ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu leo Oktoba 31. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Azam FC itaingia uwanjani ikiwa imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Simba na kusepa na pointi tatu mazima huku kipa wao Ali Ahamada akifanikisha ngome…

Read More

TIKETI 10,000 MASHABIKI WA YANGA KUPEWA KUWAONA WAARABU

UONGOZI wa Yanga umetangaza kugawa bure tiketi 10,000 za mchezo wa Yanga dhidi ya Club Africain ya nchini Tunisia kwa mashabiki watakaochanja chanjo ya Uviko-19. Yanga wanatarajiwa kukutana na Club Africain Novemba 2 katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo, kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar….

Read More