MASTAA AZAM KUIFUATA LIBYA, 7 WABAKI

 KIKOSI cha wachezaji 25 wa Azam FC wanatarajiwa kukwea pipa kesho Oktoba 6,2022 kuelekea nchini jijini Benghazi, Libya kesho Alhamisi saa 11.25 Alfajiri. Miongoni mwa mastaa watakaokuwa kwenye msafara huo ni pamoja na kipa namba moja Ali Ahmada,Lusajo Mwaikenda,Bruce Kangwa, James Akaminko.  Safari hiyo ni kwa ajili ya kwenda kuikabili Al Akhdar ya Libya kwenye mchezo…

Read More

HESABU ZA SIMBA DAKIKA 180 KIMATAIFA

 ANGA la kimataifa ndani ya dakika 180 litakutana na pumzi ya moto kutoka kwa vijana wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda baada ya kuweka wazi kuwa vijana wake wapo tayari. Simba inatarajiwa kumenyana na de de Agosto na wataanzia ugenini Oktoba 9 nchini Angola kwenye mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.  Mgunda…

Read More

VIUNGO WA KAZI YANGA WAANDALIWA KUIVAA AL HILAL

VIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikiwa ni pamoja na Tuisila Kisinda, Bernard Morrison, Jesus Moloko ni miongoni mwa nyota wanaondaliwa kwa ajili ya kuikabili Al Hilal ya Sudan. Mbali na hao pia nyota wa kazi chafu Yannnick Bangala ambaye ni kiraka naye yupo kwenye mpango kazi wa mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA QUEENS ATAJA KILICHOMLETA BONGO

KOCHA mpya wa Simba Queens, Charles Ayiekoh Mbuzi ameweka wazi sababu ya kujiunga na timu hiyo. Kocha huyo ameeleza jinsi viongozi wa Simba walivyoanza mchakato wa yeye kujiunga na Simba Queens hadi akamwaga wino. “Mara baada ya mchezo wa fainali dhidi ya Simba Queens, uongozi wa Simba ulipendezwa na uwezo wangu ambapo meneja Selemani Makanya…

Read More