>

YANGA YASAINI MIKATABA MIWILI, BILIONI KUKUSANYWA

UONGOZI wa Yanga leo Septemba 12,2022 umeingia makubaliano na GSM kwa kusaini mikataba miwili ya miaka mitano ambayo  itawafanya wavune zaidi ya bilioni 10. Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa sababu kubwa ya kuinga makubaliano hayo ni utekelezaji wa sera yake ambayo aliingia nayo wakati wa uchaguzi iliyokuwa inalenga kuimarisha nguvu ya uchumi….

Read More

LUSAJO AIMALIZA RUVU SHOOTING UWANJA WA MAJALIWA

RELLIATS Lusajo ni namba moja kwa utupiaji Bongo akiwa ametupia mabao manne na bao lake la nne aliwatungua Ruvu Shooting, mchezo uliochezwa Uwanjawa Majaliwa. Kwenye mchezo huo ambao ni wa kwanza kwa Namungo kucheza Uwanja wa Majaliwa msimu wa 2022/23 kutokana na kufanyiwa marekebisho walijitokeza mashabiki wengi na burudani ilikuwa kubwa. Bao pekee la Lusajo…

Read More

KAZI KIMATAIFA BADO NI NGUMU

MECHI za awali zimeanza kwenye mechi za kimataifa na tunaona wawakilishi wa Tanzania wameanza kupata matokeo chanya katika mechi za awali. Pia zipo ambazo zimepata matokeo ambayo walikuwa hawayahitaji wala kuyatarajia ni muhimu kupanga mipango upya kwa ajili ya mechi zijazo. Kila hatua ambayo inapigwa ni muhimu kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa hakuna matokeo yanayopatikana…

Read More

SINGIDA BIG STARS YABANWA NA DODOMA JIJI

MEDDIE Kagere ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza kilichopangwa na Kocha Mkuu Hans Pluijm mwenye tuzo ya kocha bora kwa mwezi Agosti. Mchezo huo wa ligi umechezwa Uwanja wa Liti,baada ya dakika 90 ubao umesoma Singinda Big Stars 0-0 Dodoma Jiji. Mchezo wa leo Dodoma Jiji wamekamilisha wakiwa pungufu baada ya nyota wao…

Read More

SIMBA KUWASILI DAR LEO

KIKOSI cha Simba leo Septemba 11,2022 kinatarajiwa kuwasili Dar kikitokea Malawi ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ulikuwa ni mhezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets, uliochezwa Septemba 10,2022 na ubao wa Bingu ulisoma Big Bullets 0-2 Simba. Mabao ya Moses Phiri na John Bocco yalitosha…

Read More

AZAM FC KUWAFUATA MBEYA CITY

KIKOSI cha Azam FC, kesho Septemba 12 kinatarajia kuibukia Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuikabili Mbeya City, Uwanja wa Sokoine, Mbeya Septemba 13. Huo utakuwa ni mchezo wa tatu kwa Azam FC kucheza ndani ya ligi kwa msimu wa 2022/23 baada ya kukamilisha mechi tatu. Mechi mbili walicheza Uwanja wa Azam Complex na…

Read More

NABI ANAAMINI KAZI HAIJAISHA KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi ipo kwenye mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya Zalan FC. Jana, Septemba 10, ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Zalan 0-4 Yanga huku wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele aliyetupia mabao matatu na mzawa Feisal Salum aliyefunga bao moja. Ushindi huo ulipatikana…

Read More

JUMA MGUNDA AFICHUA ALICHOWAAMBIA WACHEZAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema aliwaambia wachezaji wacheze mpira jambo lililowapa matokeo chanya. Jana, Simba ikiwa ugenini iliambulia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa dakika 90. Mabao ya Moses Phiri dakika ya 28 na John Bocco dakika ya 81 yalitosha kuipa ushindi timu ya Simba kwenye mchezo wa awali…

Read More

STAA WA CITY HAALAND AITWA UNITED

HIVI karibuni, staa wa Manchester City, Erling Haaland akiwa anakatiza mitaa ya Jiji la Manchester, shabiki mmoja wa Manchester United alisikika akimwambia ‘njoo United msimu ujao’. Shabiki huyo alikuwa akimfuata Haaland huku akimpigia kelele za kumtaka ahamie United. Ikumbukwe kwamba nyota huyo aliwahi kutajwa kuingia kwenye hesabu za United wakati anatoka RB Salzburg akasajiliwa na…

Read More