
RAHEEM ATUPIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
RAHEEM Sterling wa Chelsea alipachika bao la kuongoza dakika ya 48 likawekwa usawa na Noah Okafor dakika ya 75 kwenye mchezo wa UEFA Champions League. Ni mashuti 17 Chelsea walipiga Uwanja wa Stamford Bridge huku RB Salzburg wakipiga mashuti matatu na ni mashutu manne kwa Chelsea yalilenga lango na matatu yalilenga lango kwa RB Salzburg….