
SIMBA WAFUNGUKIA AUSSEMS KUREJEA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa taarifa za Patrick Aussems aliyekuwa kocha wa timu hiyo pamoja na makocha wengine wanaotajwa itajulikana hivi karibuni uongozi utakapokamilisha mchakato wa kufanya tathmini. Simba kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,Juma Mgunda ambaye amepewa mkataba wa muda na yupo na kikosi hicho Zanzibar kwa ajili ya mechi mbili za…