SHABIKI WA SIMBA ASHINDA MAMILIONI YA M BET

SHABIKI wa Klabu ya Simba anayeishi mkoani Arusha, Joseph Marwa ameshinda sh 60, 321,350 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet. Marwa ambaye ni mjasiriamali amesema kuwa awali hakuwa na imani na michezo ya kubashiri kabisa mpaka alipofuatwa kukopwa fedha ya nauli  na…

Read More

SIMBA YAANZA KWA USHINDI KIMATAIFA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameanza kazi yake kwa mara ya kwanza kwenye mashindano a kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika na timu hiyo imeshinda mabao 2-0 dhidi ya ig Bullets. Mchezo huo wakiwa ugenini Uwanja wa Bingu, kipindi cha kwanza Simba walianza kupata bao la kuongoza kupitia kwa Moses Phiri dakika ya 28….

Read More

YANGA WACHAPA 4G KIMATAIFA

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Zalan 0-4 Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya awali. Mabao yote ya Yanga yamefungwa kipindi cha pili baada ya dakika 45 ubao kusoma Zalan 0-0 Yanga. Fiston Mayele ambaye katupia mabao matatu mwenyewe alianza kufunga bao la kuongoza dakika ya 47 na mengine…

Read More

BIG BULLETS 0-1 SIMBA, LIGI YA MABINGWA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Big Bullets 0-1 Simba. Ni mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Juma Mgunda kukamilisha dakika 45 akishuhudia bao la Moses Phiri dakika ya 28. Bao hilo amefunga kwa mtindo wa acrobatic akiwa ndani ya 18 kwenye mchezo huo wenye ushindani mkubwa

Read More

ZALAN 0-0 YANGA, UWANJA WA MKAPA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali, Uwanja wa Mkapa, Zalan FC 0-0 Yanga. Ni dakika 45 za nguvu kwa kila timu kuonyesha ubabe wake lakini hakuna ambaye ameweza kuona nyavu za mpinzani wake. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anakwenda mapumziko kuwabadilishia mbinu wapinzani wake ambao nao wanahitaji ushindi.

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA BIG BULLETS

SIMBA leo Septemba ina kibarua cha kutupa kete ya awali kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Big Bullets. Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Simba kinachotarajiwa kuanza:- Aishi Manula Mwenda Mohamed Hussein Outtara Inonga Kanoute Sakho Mzamiru Phiri Chama Kibu Akiba Beno Nyoni Kennedy Okwa Okra Dejan Bocco Banda

Read More

JESHI LA YANGA DHIDI YA ZALAN FC KIMATAIFA

LEO Yanga itakuwa ugenini kwenye mchezo wa hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC. Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Yanga kitakachoanza namna hii:- Mshery Djuma Kibwana Bangala Aucho Feisal Ambundo Mayele Aziz KI Moloko Akiba Johora Bacca Bryson Job Lomalisa Mauya Gael Nkana Makambo

Read More

WAWAKILISHI WA TANZANIA KIMATAIFA MUHIMU KUJITOA

WAWAKILISHI wa kimataifa leo wanatarajiwa kutupa ket zao kwenye mechi za awali kusaka ushindi ndani ya dakika 90 za awali kabla ya nyingine tena. Yanga wao watakuwa ugenini wakicheza na Zalan FC ya Sudan Uwanja wa Mkapa, Simba itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Big Bullets na KMKM wao watakuwa ugenini dhidi ya Al Ahly Tripol….

Read More

SINGIDA BIG STARS KUTUMIA MBINU ZA RWANDA KWENYE LIGI

UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Rayorn Sports ya Rwanda umewapa mbinu za kuikabili Dodoma Jiji pamoja na mechi nyingine za kirafiki. Septemba 4,Singida Big Stars ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayorn Sports ya Rwanda na walitoshana nguvu bila kufungana.  Ofisa Habari wa Singida Big Stars,…

Read More

VIDEO:NABI ATAJA MAKOSA YA WACHEZAJI WAKE, JOB, DJUMA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi leo ana kiarua cha kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zala FC akiwa ametoka kulaimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi ambapo alibainisha kuwa wachezaji wake walifanya makosa na Dickoson Job alicheza nafasi ambayo haikuwa yake pamoja…

Read More

SIMBA KUIKABILI BIG BULLETS

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema wananafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa nchini Malawi. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa Mgunda kukaa benchi baada ya kuibuka ndani ya Simba akitokea Klau ya Coastal Union. “Tunajua kwamba mchezo wetu utakuwa…

Read More

YANGA KAMILI KUIVAA ZALAN FC KWA MKAPA

 CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zalan FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, leo Septemba 10,2022. Yanga inaingia katika mashindano haya ikiwa na kumbukumbu ya kutolewa katika hatua ya awali michuano hiyo msimu uliopita wa 2021/22. Ni Klabu ya…

Read More

GEITA NDANI YA SUDAN, MPOLE ABAKI DAR

 GEITA Gold imewasili nchini Sudan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Hilal Alsahiri utakaochezwa kesho Jumapili. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga za kimataifa. Mshambuliaji wa timu hiyo George Mpole alipata maumivu kwenye maandalizi ya mwisho kabla…

Read More