RWEYEMAMU:MAFANIKIO YA SIMBA HUWEZI MUACHA GEMBE

PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ya timu hiyo huwezi kuyataja na kumuweka pembeni Dk Yassin Gembe. Gembe alitangulia mbele za haki Septemba 2,2022 ambapo taarifa ilitolewa na uongozi wa Simba ilieleza Gembe aliyekuwa daktari wa timu ya wanaume (Senior Team) kilitokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Leo Septemba 4, imefanyika ibada…

Read More

RATIBA YA MECHI ZA YANGA SEPTEMBA

HII hapa ratiba ya Yanga, ndani ya mwezi Septemba mechi za kitaifa na kimataifa zipo namna hii:-  Septemba 6,2022, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku. Septemba 10,2022, Uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni, Zalan v Yanga mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 13,2022, Uwanja wa Mkapa, Yanga v Mtibwa Sugar, saa 1:00 usiku….

Read More

LIVERPOOL MWENDO WAKE MGUMU

LICHA ya kuwa na mastaa wake wote ndani ya kikosi cha Liverpool ikiwa ni Mohamed Salah, Roberto Firmino, Virgil Van Djik waliambulia pointi moja mbele ya Everton kwenye Merseyside Dabi. Unakuwa ni mchezo wa tatu kwa Liverpool kupata sare msimu huu ikiwa imecheza mechi sita, imeshinda mbili na ilinyooshwa mbele ya Manchester United jambo linaloonesha…

Read More

KOCHA MAN U AKIRI ARSENAL NI WAGUMU

 ERIC ten Hag, Kocha Mkuu wa Manchester United ameweka wazi kuwa atakabiliana na wapnzani wao Arsenal ambao ni kipimo sahihi kwake kutokana na ubora wa wapinzani wao hao kwa sasa. Man United inatarajiwa kuvaana na Arsenal leo Septemba 4,2022 Uwanja wa Old Trafford ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England. Arsenal imeanza msimu wa 2022/23…

Read More

MWAKINYO ATAJA SABABU ZA KUPIGWA TKO

BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo ameomba msamaha kwa kushindwa dhidi ya mpinzani wake  Liam Smith ambalo  lilifanyika jijini Liverpool nchini Uingereza na Mwakinyo kushindwa kwa TKO.  Kushinwa kwa Mwakinyo ambaye alikuwa anaipeperusha bendera ya Tanzania kulifanya  maamuzi ya mchezo huo yakawa ni kumtangaza Liam Smith kama mshindi wa pambano hilo. Mwakinyo amemwaga machozi wakati alipokuwa akiwaomba…

Read More

ORODHA YA MASTAA KUTOKA DR CONGO YATAWALA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23 imeanza kwa ushindani mkubwa huku kila timu zikikamilisha usajili wao kwa kile ambacho walikuwa wanahitaji. Nyota wapya wakigeni wapo ikiwa ni pamoja na kutoka Uganda, Burundi, Rwanda lakini nyota kutoka DR Congo wametawala soka la Bongo. Hapa tunakuletea baadhi ya nyota wakigeni kutoka DR Congo ambao wanakipiga kwenye…

Read More