>

MKATABA WA SIMBA NA M-BET BILIONI 26

MTEDAJI Mkuu wa Simba,Barbara Gonzale amesema kuwa leo ni kubwa kwa Simba na kampuni ya kubashiri ya M-Bet ambao ni wadhamini wao wakuu walioweka mkwanja mrefu kwa muda wa miaka mitano. Ni mkataba wenye thamani ya bilioni 26 kwa miaka mitano ikiwa ni mkwanja mrefu watakaopokea Simba kwa mafungumafungu. Barbara amesema:”Leo ni siku kubwa kwa…

Read More

MENEJA MPYA YANGA ATOA SHUKRANI ZAKE KMC

WALTER Harson aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa KMC ameweza kuwashukuru maosi wake hao na sasa anakwenda kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi cha Yanga. Ujumbe wake ambao amewaandikia mashabiki wake pamoja na KMC unasomeka namna hii:”Imekuwa miaka minne yenye kujifunza na kukua katika tasnia. Nafasi niliyoipata ya kuhudumu kama Mtendaji Mkuu wa Klabu kwa kipindi chote…

Read More

TAIFA STARS WANASTAHILI PONGEZI KIDOGO

USHINDI unaleta furaha,ushindi unaleta kicheko ushindi unarejesha lile tabasamu ambalo lilikuwa limejificha kwenye sura ya yule aliyekuwa na makasiriko. Unadhani ushindi unaleta hayo tu,hapana kuna mengi ambayo yanaletwa na ushindi ikiwa ni pamoja na furaha na kuhisi kwamba kila kitu unachogusa kinakutii na kile ambacho hauna mamlaka nacho kinakusikiliza kwa umakini. Ushindi upi ambao unaweza…

Read More

YANGA YATAMBA KUKOMBA KILA KITU

NDANI ya Yanga kwa sasa ni raha na vicheko tu kutokana na fedha ambazo zinaendelea kuingia kwenye timu hiyo kupitia wadhamini ambapo mabosi wa timu hiyo mapema tu wametamba wanataka kubeba mataji yote kama msimu uliopita. Mabosi hao wameongeza kuwa wanataka kubeba mataji yao yote waliyotwaa msimu uliopita ya Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na…

Read More

SIMBA WAJA NA HATUZUILIKI,HESABU ZAO NI MATAJI

MTENDAJI Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema kuwa msimu huu klabu hiyo imejipanga kurudisha makombe yote ya ndani na kuhakikisha inafika nusu fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika. Barbara ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa Simba Week ulifanyika Mbagala Zakheim Dar es salaam ambapo pia ameongeza kuwa usajili bado unaendelea na kuanzia wiki ijayo wataendelea kushusha…

Read More