
MASTAA WATANO SIMBA WAKOSA UFUNDI WA MAKI MISRI
ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amekosa kuona ufundi wa majembe matano ya kikosi cha Simba kambini Misri kwa kuwa walikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars. Ni Kened Juma,Mzamiru Yassin,Kibu Dennis,Aishi Manula na Mohamed Hussein hawataibukia Misri kwa kuwa kikosi hicho kinatarajiwa kurejea kesho kuendelea na maandalizi kuelekea Simba Day,Agosti 8. Kipa…