
GEITA GOLD WASHUSHA MTU MWINGINE WA KAZI
WACHIMBA madini,Geita Gold hawatanii kwa kuwa wana jambo lao na leo Agosti 7,2022 wameweza kumtambulisha nyota mpya katika kikosi hicho. Timu hiyo inakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa Afrika baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya nne hivyo inajipanga kuwa ya kipekee. Ni beki Yahya Mbegu leo ametambulishwa kuwa mchimba madini mapya baada ya Agosti 4…