KOCHA WA AL AHLY ACHAGUA KUPUMZIKA

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini amesema baada ya kutumika akiwa kocha kwa miaka 21, sasa ameamua kupumzika ili kufanya mambo mengine nje ya ukocha. Pitso amesema hayo leo , Agosti 5, 2022 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam baada ya kukaribishwa na Klabu ya…

Read More

YANGA INAHTAJI MATAJI MATATU,KUANZA NA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena. Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa wanatambua kwamba…

Read More

PABLO FRANCO AIBUKA KWA MTINDO HUU SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ripoti ya usajili amayo inatumika kwa sasa ni ileiliyoachwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo Pablo Franco raia wa Hispania. Pablo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2021/22 alipobeba mikoba ya Didier Gomes alichimbishwa hapo baada ya kushindwa kutimiza makubaliano yalikuwa kwenye mkataba na mchezo wake wa mwisho ilikuwa ni Mei 28. Katika…

Read More

MTUNISIA FRESH YANGA,KAZI INAANZA KESHO

MTUNISIA Nasreddine Mohammed Nabi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya ‘Wananchi’ hadi mwaka 2024. Licha ya Nabi kuhitaji ongezo zaidi la mshahara ambao wameafikiana, kingine ni mipango yake ndani ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania.  Nabi anaamini anaweza kupata mafanikio aliyokosa alikopita, kama Yanga wanavyoamini pia juu yake hasa kufuatia kuimarishwa…

Read More

SHIGONGO ANOGESHA WIKI YA SIMBA DAY BUCHOSA

WANACHAMA na mashabiki wa Simba SC, Buchosa nao ni miongoni mwa wale ambao wanaendelea na shughuli za kijamii kabla ya maadhimisho ya Simba Day,Agosti 8,Uwanja wa Mkapa Wanachama hao ambao ni kutoka tawi la Simba Buchosa limeadhimisha sherehe hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii zilizohudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo. Akizungumzia…

Read More

GEITA GOLD WASHUSHA MASHINE MPYA NNE

 KLABU ya Geita Gold imetangaza kumsajili mlinzi Shawn Oduro raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili na kufanya iwe imeshusha mashine mpya za kazi nne. Hizo ni jitihada za kukifanyia marekebisho kikosi hicho kwa ajili ya mikikimikiki ya ligi na mashindano ya CAF. Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu,Felix Minziro itashiriki mashindano ya kimataifa…

Read More