
UPEPO WA USAJILI UNAHITAJI UMAKINI MKUBWA
IKIWA umetulia kwa sasa na kutazama upepo ambavyo upo lazima utasikia kuhusu namna ambavyo kila mwenye nguvu anaingia sokoni kusaka kile ambacho anakihitaji. Huu ni upepo mzuri hasa kwa kila mmoja kupata kile ambacho anakitaka muda huu wa kufanya maandalizi ya usajili kwa wachezaji ambao wanahitajika. Wapo wachezaji ambao wameshapewa mkono wa kwa heri mapema…