>

LUKAKU KUBAKISHWA INTER MILAN TENA

KLABU ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho wa msimu wa 2023/2024. Taarifa hizo zimeibuka ikiwa ni mipango ya klabu hiyo kutaka kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji lakini pia ikiwa ni njia ya kutengeneza mazingira rahisi kwa Klabu ya Inter Milan…

Read More

CRDB WAFURAHIA TUZO,WAIREJESHA KWA WATEJA

MAKAMU Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori amefurahia tuzo ya ‘Benki Bora Tanzania’ na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, pamoja na Meneja Mipango ya Biashara Benki ya CRDB Masele Msita. Furaha ya viongozi hao ilikuwa katika hafla ya kuwashukuru wateja na wadau wa Benki hiyo kwa mafanikio…

Read More

MATOLA:WACHEZAJI WANAFURAHIA MAZOEZI,KESHO TENA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wamezidi kuyafurahia mazoezi ambayo wanayafanya nchini Misri na wanapiga hatua kila wakati. Kikosi hicho kwa sasa kipo nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23 ambao unatarajiwa kuanza Agosti. Matola amesema:”Kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wanayafurahia mazoezi kwa sasa ambayo tunayafanya na tulianza…

Read More

KOCHA MPYA TANZANIA NI MRUNDI

JOSLIN Sharif Bipfubusa raia wa Burundi  ametambulishwa rasmi leo Julai 26,2022 kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Ni mkataba wa mwaka mmoja amepewa kocha huyo uweza kuinoa timu hiyo. Kocha huyo amewahi kuifundisha Timu ya Taifa ya Burundi na timu mbalimbali za Burundi, Rwanda na DRC. Amechezea timu mbalimbali ikiwemo timu ya Taifa ya Burundi…

Read More

NBC WATOA FIDIA YA BIMA TABORA

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dk. Batilda Buriani ametoa hundi kwa vyama vya Ushirika (AMCOS) mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya fidia ya hasara ya mazao iliyotokana na kuwepo kwa mvua kubwa katika msimu wa 2021/2022. Fedha hizo zimetolewa kupitia huduma ya Bima ya mazao ya Benki ya NBC ambayo inatoa kinga dhidi ya athari…

Read More

MANARA:SIHITAJI KUONEWA HURUMA

MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa hahitaji kupata huruma kutoka kwenye mamlaka kutokana na kuweza kupewa adhabu ya kufungiwa miaka miwili pamoja na adhabu ya faini ya milioni 20 bali anahitaji haki. Julai 21,Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) iliweka wazi kuwa imemfungia Manara miaka miwili pamoja na adhabu ya milioni 20…

Read More

TAIFA STARS MNA DENI KWA WATANZANIA,INAWEZEKANA

ILIKUWA ngumu kuweza kupata ushindi kwenye mchezo wa kwanza kutokana na mbinu kuonekana kuwa ngumu pia kwa timu zote mbili. Hakika kwa mwanzo mkiwa nyumbani licha ya kwamba Somalia wao walikuwa wenyeji bado wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars mna deni la kulipa. Hakika mashabiki wanapeda kushangilia na kuona matokeo yanapatikana kwa…

Read More

SINGIDA UNITED CHIMBO LAO ARUSHA

HUSSEIN Massanza,Ofisa Habari wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa maandalizi kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 yanakwenda vizuri. Timu hiyo ambayo imepanda Ligi Kuu Bara kutoka Championship kwa sasa imeweka kambi Mjini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. Imebadili jina kutoka DTB mpaka kuwa ni Singida Big Stars kutokana na sababu…

Read More

NEYMAR JR AGOMEA ISHU YA KUONDOKA PSG

 NYOTA wa Klabu ya PSG,Neymar Jr amebainisha kuwa anataka kubaki ndani ya timu hiyo japo hakuna ambaye amezungumza naye kujua hatma yake. Mkataba wake ndani ya PSG unatarajiwa kumeguka mwaka 2026 amekuwa akitajwa kwamba anaweza kuuzwa katika kikosi hicho. Staa huyo alisajiliwa na PSG kwa rekodi kubwa ilikuwa ni 2017 akitokea Barcelona anatajwa kuwa anaweza…

Read More

MWAMBA HUYU KUCHUKUA MIKOBA YA SAKHO SIMBA

 JEAN Morel Poé,anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu Pape Ousmanne Sakho atauzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco inayomuhitaji baada ya kumuwekea ofa ya shilingi bilioni 1.6.  Sakho ambaye baada ya kushinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka CAF vigogo kibao wameanza kumnyemelea, Simba hawakutaka kuchelewesha,…

Read More