MALALE HAMSINI YATIMIA BAADA YA MUDA MREFU
RASMI uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara umethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Ikumbukwe kwamba Januari 11,2021 uongozi wa Polisi Tanzania ulibainisha kuwa kocha huyo Malale Hamsini ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo baada ya taarifa kuripotiwa kwamba amefutwa kazi. Hatimaye yametimia leo…