DE JONG ATAJWA MANCHESTER UNITED

KOCHA mpya wa Manchester United, Erick ten Hag anatajwa kuwa kwenye hesabu za kumsajili Frenkie de Jong kwa ajili ya kuwa naye kwenye kikosi msimu ujao. Kocha huyo anamuamini kiungo huyo Mholanzi akiamini kwamba atakuwa bora kwenye mfumo wake akimpeleka pale Old Trafford. Ten Hag hataki klabu hiyo imwage fedha kwa wachezaji ambao hawapi kipaumbele…

Read More

AZIZ KI KUTAMBULISHWA YANGA

KAMA ulikuwa huamini, basi taarifa ikufikie kwamba, Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephane Aziz Ki na siku ya kutua nchini imetajwa. Ipo hivi, mchezaji huyo kwa taarifa za uhakika ambazo imezipata Spoti Xtra, ataingia nchini mapema ndani ya wiki ambayo inaanza kesho Jumatatu kwa ajili ya kumalizana kila…

Read More

KIPA WA ZAMANI AMUONDOA KAKOLANYA SIMBA

KOCHA wa Makipa na nyota wa zamani wa Sigara, Mtibwa Sugar na Yanga, Peter Manyika amewaangalia makipa wa sasa wa Simba, kisha kumchomoa Beno Kakolanya katika kikosi hicho, ili atafute maisha mengine kama anahitaji kulinda kiwango chake. Ubora wa Kakolanya ulionekana katika mchezo wa Simba dhidi ya Yanga akiwa katika lango la Wanajangani na aliweza…

Read More

KOCHA AFUNGUKIA KASI YA MPOLE

FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa bado anaamini kwamba mshambuliaji wake George Mpole ataendelea kutimiza majukumu yake ya kufunga pale anapopata nafasi. Mpole ni namba moja kwa utupiaji kwa wazawa akiwa na mabao 15 na pasi tatu za mabao ndani ya ligi huku Fiston Mayele wa Yanga akiwa ni kinara wa utupiaji…

Read More

NAMNA MAYELE ALIVYOIVUNJA REKODI YA BOCCO

FISTON Mayele, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga amevunja rekodi ya staa wa Simba, John Bocco kwenye suala la ufungaji na pasi za mabao. Bocco msimu wa 2020/21 aliweza kutupia mabao 16 na pasi mbili na aliweza kuibuka mfungaji bora ambaye anatetea kiatu chake hicho. Msimu huu Bocco kafunga mabao matatu na hajatoa…

Read More

MAMBO MAKUBWA MAWILI YA KUFANYA KWA SASA

MAMBO makubwa mawili kwa sasa yapo kwenye hesabu za kila mmoja,mwisho wa msimu pamoja na mwanzo wa msimu mpya. Haya lazima yaweze kuzunguka kwenye familia ya mpira hasa ukizingatia kwamba muhimu kila mmoja kufanya yale ambayo yanamuhusu kutimiza. Ukweli ni kwamba kila timu iwe ni ya ligi pamoja na zile ambazo zilikuwa kwenye Championship zina…

Read More

BWALYA AWEKA WAZI KWAMBA AMEJIFUNZA MENGI SIMBA

RALLY Bwalya kiungo wa Simba amesema kuwa miaka miwili aliyodumu hapo amejifunza mengi kwa kuwa amefanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Jana Bwalya alicheza mchezo maalumu wa ligi na kuagwa kwa heshima na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu hiyo ambayo ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo. Kwenye mchezo…

Read More

VIDEO:FEI TOTO AMTAJA SAMATTA NA KIBA

KIUNGO wa Yanga,Feisal Salum ameweka wazi kuwa matamasha ya NIFUATE ni mazuri na amewaomba mashabiki waendelee kujitokeza kwa wingi ili kuweza kutoa msaada kwa wengine hiyo ilikuwa ni kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta ambapo yeye alikuwa ni kwa upande wa Team Kiba na amemtaja Kiba kuwa mmoja ya wachezaji ambao walifanya vizuri

Read More

USAJILI UZINGATIE MAPENDEKEZO YA BENCHI LA UFUNDI

BADO dirisha la usajili halijafunguliwa rasmi kwa sasa ila muhimu kuongeza nguvu kwenye vikosi ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao ambao upo njiani kuweza kuanza tena.  Kikubwa kwa sasa ni kuanza kupitia yale mapendekezo ya mwalimu ambayo alitoa kuna yale majalada ya wakati ule wa usajili wa dirisha dogo mahali ambapo hapakukamilishwa basi pafanyiwe kazi….

Read More

SIMBA WAJIVUNIA KUMLETA AZIZ KI BONGO

UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna hofu hata kama wakimkosa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas, Stephane Aziz Ki kwani wapo wachezaji bora na wazuri wengine katika timu hiyo. Simba wamejipongeza kwa kuwaleta wachezaji wazuri Bongo ikiwa ni pamoja na Aziz KI kwenye mechi za Kombe la Shirikisho, Uwanja wa Mkapa. Hiyo ikiwa ni siku chache…

Read More

SIMON MSUVA ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa nyota wa zamani wa kikosi cha Yanga, Simon Msuva yupo kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji kumuongeza ndani ya kikosi hicho. Msuva ni winga wa kimataifa ambaye yupo Tanzania kwa sasa baada ya kuweza kutokwenda sawa na mabosi wake Wydad Casablanca ya Morocco na suala lao lipo Fifa. Nyota huyo amekuwa…

Read More

KOCHA HUYU ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA PABLO

IMEELEZWA kuwa jina la Josef Vukusic ambaye amewahi kuinoa Klabu ya Polokwane na Amazulu za Afrika Kusini ambaye aliletwa duniani Agosti 3,1964 akiwa na miaka 57 anatajwa kuwa miongoni mwa makocha watakaorithi mikoba ya Pablo Franco ndani ya Simba. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa kwa sasa mchakato huo umefika hatua nzuri…

Read More

SIMBA YAPINDUA MEZA MBELE YA KMC

KWENYE mchezo wa Ligi Kuu Bara leo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, kikosi cha Simba kimeweza kupindua meza mbele ya KMC. Pia mchezo wa leo ambao ni wa mzunguko wa pili umetumika kwa ajili ya kumuaga mchezaji wao Rally Bwalya ambaye amecheza mechi 19 na kutoa pasi tatu za mabao kuweza kuagwa kwa kuwa amepata timu…

Read More

YANGA YASHUSHA MAJEMBE MAWILI KWA MPIGO

IMEFICHUKA kuwa, mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2021/22, Yanga SC, imewashusha kimyakimya jijini Dar es Salaam mastaa wao wawili wapya ambao ni mlinzi wa kimataifa wa DR Congo, Joyce Lomalisa na mshambuliaji wa kimataifa wa Angola, Adriano Belmiro Duarte Nicolau ‘Yano’ kwa ajili ya kukamilisha usajili wao. Taarifa kutoka chanzo chetu cha kuaminika ndani ya…

Read More

REAL MADRID WAFICHUA NAMNA WALIVYOMDHIHAKI SALAH

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Real Madrid Rodrygo Silva de Goes maarufu kama Rodrygo amebainisha kuwa wachezaji wa Real Madrid walipanga kumdhihaki mshambuliaji wa Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama Uefa. Mshambuliaji huyo amenukuliwa akisema:“Pale inapotokea mtu…

Read More