
UWANJA WA SOKOINE:PRISONS 0-0 SIMBA
AKIWA ni miongoni mwa mastaa waliopo kwenye kikosi cha kwanza Kibu Dennis ameshuhudia ubao ukisoma Tanzania Prisons 0-0 Simba. Ni kwenye mchezo wa ligi ambao kwa sasa ni mapumziko Uwanja wa Sokoine,Mbeya. Kwa upande wa Prisons wamekuwa imara kwenye kuzuia mashambulizi ya Simba ambayo yanatengenezwa na kiungo huyo huku kazi ya Peter Banda ikiwa kwenye…