
KUMBE!CHAMA HAKUTAKIWA KUSAJILIWA SIMBA
MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama hakutakiwa kusajiliwa ndani ya kikosi cha Simba msimu huu wa 2021/22 na badala yake alitakiwa kusajiliwa mshambuliaji wa kazi ambaye angetatua tatizo la ubutu wa ushambuliaji. Kiongozi mmoja wa Simba ambaye yupo ndani ya kamati inayofanya masuala ya usajili ameeleza kuwa ni mapendekezo yaliyofanywa na mtu mmoja pekee ambaye alitaka…