
KICHUYA AWEKA REKODI YAKE BONGO
SHIZA Ramadhan Kichuya staa wa Namungo jana amefunga mabao matatu kwenye mchezo wa ligi na kufanya aweze kufunga hat trick kwenye mchezo huo ikiwa ni ya pili ndani ya ligi. Kichuya alifunga mabao hayo ilikuwa dk ya 23,50 kwa mkwaju wa penalti na lile la tatu ilikuwa dk ya 66 kwenye ushindi wa mabao 4-2…