SIMBA YANYOOSHWA KIDUDE KIMOJA NA PRISONS

WAKIWA Uwanja wa Sokoine, Mbeya leo Simba wamechezeshwa pira gwaride kwa kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Ni Benjamin Asukile ambaye alipachika bao la ushindi kwa Prisons ilikuwa dk ya 59 na kuwafanya Simba kuambulia maumivu ugenini. Tanzania Prisons wameweza kulipa kisasi cha kupoteza mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo walifungwa bao…

Read More

UWANJA WA SOKOINE:PRISONS 0-0 SIMBA

AKIWA ni miongoni mwa mastaa waliopo kwenye kikosi cha kwanza Kibu Dennis ameshuhudia ubao ukisoma Tanzania Prisons 0-0 Simba. Ni kwenye mchezo wa ligi ambao kwa sasa ni mapumziko Uwanja wa Sokoine,Mbeya. Kwa upande wa Prisons wamekuwa imara kwenye kuzuia mashambulizi ya Simba ambayo yanatengenezwa na kiungo huyo huku kazi ya Peter Banda ikiwa kwenye…

Read More

SIMBA YA SELEMAN MATOLA INAOGOPESHA

SELEMAN Matola, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba ameweza kuifanya timu hiyo kuweza kuogopesha kwenye mechi tatu ambazo amekaa kwenye benchi. Matola amekaimu mikoba ya Pablo Franco ambaye alikuwa kocha mkuu kabla ya kufutwa kazi kutokana na kushindwa kufikia makubaliano ambayo alipewa na mabosi hao ikiwa I pamoja na kukosa ubingwa wa ligi na…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA

BAADA ya mabingwa Yanga kukabidhiwa ubingwa wao wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 mbele ya Mbeya City kwenye sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine bado ligi inaendelea. Leo Juni 26, mechi mbili za mzunguko wa 29 zitachezwa ambapo kila timu inapambana kusaka pointi tatu muhimu. Namungo FC itakuwa ugenini Uwanja wa Manungu…

Read More

NGUVU IWE KUBWA MAANDALIZI KOMBE LA DUNIA

TAYARI mambo yameshakuwa hadharani kwa wawakilishi wetu kimataifa kwa upande wa Wanawake katika Kombe la Dunia. Hatua ya kwanza waliweza kuipiga ilikuwa ni kuweza kufuzu na kushiriki Kombe la Dunia kwa timu ya Wanawake ya Tanzania, U 17, Serengeti Girls katika hilo kila Mtanzania alitoa pongezi. Kwa sasa ni muda wao wa kuweza kuanza kujipanga…

Read More

WAKATI MWINGINE KUPIGA HESABU KIMATAIFA

WAKATI mwingine tena wa kukamilisha hesabu kwenye mipango ya kimataifa hasa kwa timu ambazo zinakibarua cha kufanya hivyo kimataifa. Haikuwa kazi ngumu kwa msimu uliopita kwa timu za Tanzania kuweza kupeta kimataifa kwa kuwa kila timu ilikuwa inakwenda kwa mwendo wake wa kusuasua. Azam FC licha ya kuwa imara kwenye miundombinu pamoja na wachezaji wazuri…

Read More

MASHINE YA MABAO SIMBA KUPEWA MKONO WA KWA HERI

MEDDIE Kagere mshambuliaji wa mabao ndani ya Simba anatajwa kuwa miongoni mwa mastaa ambao watapigwa chini ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki ligi. Simba leo ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Tanzania Prisons mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine. Habari kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa tayari mabosi wa Simba wameanza mpango wa kusaka mbadala…

Read More

TETESI: MMILIKI MPYA CHELSEA AKUTANA NA WAKALA WA RONALDO

Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni Wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa Mshambuliaji huyo raia wa Ureno Inaelezwa walikutana wiki iliyopita na mazungmzo yanaendelea. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umebaki mwaka mmoja, klabu hiyo ina nia ya kuendelea naye lakini kumekuwa na taarifa…

Read More