TEAM KIBA WAWANYOOSHA TEAM SAMATTA
KWENYE mchezo wa leo wa NIFUATE wa SAMAKIBA Foundation,Team Kiba wameibuka mabingwa kwa ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Team Samatta baada ya dk 90 kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 3-3. Mabao ya Team Kiba yalifungwa na Simon Msuva ambaye alitupia mawili dk ya 23 na 67 huku moja likifungwa na Alikiba kwa penalti dk…