FT:BIASHARA UNITED 1-1 YANGA
DAKIKA 90 Uwanja wa CCM Kirumba zimekamilika kwenye moja ya mchezo mzuri wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga na wote kuweza kutoshana nguvu. Ubao umesoma Biashara United 1-1 Yanga ambapo walianza kufunga Yanga kisha Biashara United wao wakaweka usawa. Ilikuwa ni bao la dk ya 74 Fiston Mayele ambaye amefikisha jumla…