
AZAM FC WAANZA KUIWINDA SIMBA
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa wanafanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Simba. Azam FC inakumbuka kwamba kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya wapinzani wao. “Tulitoka Mbeya ambapo mchezo wetu ule…