
NAMUNGO YAIBANA MBAVU SIMBA
KIKOSI cha Namungo leo Mei 3,2022 kimeibana mbavu Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa kupata sare ya kufungana mabao 2-2. Ngoma imechezwa Uwanja wa Ilulu ambapo Namungo walianza kwa kasi kubwa kusaka ushindi na waliwatangulia Simba. Ilikuwa dk ya 7 kupitia kwa Jacob Masawe aliyepachika bao hilo kwa kichwa kisha likawekwa usawa na…