BEKI YANGA MWAMNYETO ANAWINDWA SIMBA
MENEJA wa Mchezaji wa Yanga Bakari Mwamnyeto aitwaye Kassa Mussa amedai Klabu ya Simba inamsumbua sana juu ya uwezekano wa kumsajili mteja wake ambaye ni mchezaji na nahodha wa Klabu ya Yanga Bakari Mwamnyeto. Mussa amesema kuwa Simba wameweka mezani ofa kubwa mno ya kutaka kumsajili mchezaji huyo na mbali na Simba Mwamnyeto amepata ofa…