UncategorizedVIDEO:YANGA WABAINISHA NAMNA WATAKAVYOIFUNGA SIMBA,KUVUNJA REKODI Saleh3 years ago01 mins OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kwamba wanakwenda kuvunja rekodi kwa msimu huu na kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba, Aprili 30 wataifunga Simba na kuchukua pointi tatu muhimu. Post navigation Previous: MAYELE:BADO DENI LA KUIFUNGA SIMBANext: SIMBA:BILA VAR,TUNGEKUWA NUSU FAINALI AFRIKA