WINGA JESUS MOLOKO ANAREJEA MDOGOMDOGO

WINGA wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi emeanza kurejea mdogomdogo katika ubora wake. Ni Jesus Moloko ambaye alikuwa chaguo la kwanza la Nabi kabla hajapata maumivu hivi karibuni. Mchezo wake wa mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa ni dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ilikuwa ni Februari 23,2022 na ubao ulisoma Yanga…

Read More

KISA MAYELE SIMBA WAONYWA

KASI ya ufungaji mabao aliyonayo mshambuliaji Mkongomani wa Yanga, Fiston Mayele kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu imemuibua Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Senzo Mbatha ambaye ameweka wazi kuwa wapinzani wao katika michezo ijayo wakiwemo Simba wajipange kwani Mayele ataendelea kutetema. Mayele kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC alipiga shuti lililosababisha…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR,KAZI BADO IPO

MSAFARA wa viongozi wa Simba pamoja na wachezaji leo Machi 22,2022 wamewasili salama Dar wakitokea Benin walipokuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya ASEC Mimosas. Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0 na kupoteza pointi tatu muhimu. Wakiwa ni wawakilishi pekee kwenye Kombe la Shirikisho wanabaki na…

Read More

KMC:HATUTETELEKI,TULICHEZA VIZURI MBELE YA YANGA

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa bado malengo yao ni kuweza kupata matokeo kwenye mechi zjazo licha ya kupoteza mbele ya Yanga. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa walipoteza mchezo wao uliopita kutokana na kushindwa kutumia nafasi hivyo makosa watayafanyia kazi. “Tulikuwa na mechi muhimu dhidi ya Yanga na…

Read More

AKILI ZA SIMBA SASA NI KWENYE LIGI

KATIKA kuhakikisha wanautetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba wametamba kurejesha makali yao ya Kombe la Shirikisho Afrika katika Ligi Kuu Bara. Kwenye ligi vinara ni Yanga wakiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 18 msimu wa 2021/22. Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 37 na imecheza mechi 17.  Meneja…

Read More

WACHEZAJI TUKUMBUKE KUWALINDA WACHEZAJI

WAKATI mwingine sasa kuweza kuangalia yale makosa ambayo yalifanyika mzunguko wa kwanza kabla ya kuweza kuboresha mambo zaidi mzunguko wa pili. Kwa mzunguko wa kwanza tumeshuhudia namna ambavyo kila timu ilikuwa inapambana kusaka ushindi na kupata kile ambacho kilikuwa kinapatikana baada ya dakika 90. Ilikuwa ni muda bora kwa wachezaji kusaka ushindi kwenye mechi ambazo…

Read More

SERENGETI GIRLS WAREJEA BONGO NA USHINDI

TIMU ya Taifa ya Wasichana U 17,’Serengeti Girls ‘ usiku wa kuamkia leo wamewasili salama Dar wakitokea Botswana. Serengeti Girls ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Botswana mchezo uliochezwa Machi 20,2022. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Obeid Itan Chilume wa Botswana ulisoma Botswana 0-4 Tanzania na kufanya Tanzania ishinde kwa…

Read More

AUBA MWENDO WA REKODI TU

STAA wa Klabu ya Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amezidi kuwa moto ndani ya maisha yake mapya ambayo ameyeanza kuishi kwa sasa. Jumapili nyota huyo alikuwa mchezaji aliyefanya vizuri kwenye El Clasico wakati Barcelona iliposhinda mabao 4-0 dhidi ya Real Madrid wakiwa ugenini. Alifunga mabao mawili na kutoa pasi moja jambo ambalo ni kubwa kwake tangu alipojiunga…

Read More