
SIMBA WAANZA MATIZI BENIN
BAADA ya kuwasili leo Benin kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya ASEC Mimosas, kikosi cha Simba kimeanza mazoezi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Machi 20,2022 ni wa hatua ya makundi, Simba ikiwa na pointi 7 huku ASEC 6 ndani ya kundi D. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa…