Skip to content
December 19, 2024
  • LEONEL ATEBA AFIKISHA MATANO SIMBA IKISHINDA MBELE YA KEN GOLD
  • MUTALE AWEKWA BENCHI, AHOUA NAYE
  • DAKIKA 450 SIMBA IMEKIMBIZA, KAZI NYINGINE LEO
  • WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LEONBET WAPATIKANA, WABEBA TV, PIKIPIKI

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2022
  • January
  • 15
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA, YAPO HAPA
  • Entertainment
  • Featured
  • Sports

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATANGAZWA, YAPO HAPA

Saleh3 years ago01 mins

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2021.

 

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia, baraza hilo limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili 2021.

 

Akitangaza matokeo hayo, Dkt. Msonde amesema watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020.

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021

Post navigation

Previous: YANGA YAIPIGIA HESABU COASTAL UNION
Next: SHIBOUB APOTEZEWA NDANI YA SIMBA

Related News

LEONEL ATEBA AFIKISHA MATANO SIMBA IKISHINDA MBELE YA KEN GOLD

Saleh8 hours ago 0

MUTALE AWEKWA BENCHI, AHOUA NAYE

Saleh10 hours ago10 hours ago 0

DAKIKA 450 SIMBA IMEKIMBIZA, KAZI NYINGINE LEO

Saleh12 hours ago 0

WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LEONBET WAPATIKANA, WABEBA TV, PIKIPIKI

Saleh13 hours ago13 hours ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2024. Powered By BlazeThemes.