YANGA YAWATUNGUA WAJELAJELA 2-1
TANZANIA Prisons leo Desemba 19 imekwama kuivunja rekodi ya Yanga kucheza mechi tisa bila kufungwa baada ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Nelson Mandela umesoma Tanzania Prisons 1-2 Yanga. Bao la Samson Mbangula lilikuwa mapema kabisa dakika ya 9 kwa kichwa na liliweza kusawazishwa na Feisal…