
VIERA ACHAPWA BAADA YA MECHI SABA
PATRICK Viera, Kocha Mkuu wa Crystal Palace alikuwa na wakati mgumu baada ya kunyooshwa kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu England ikiwa ni baada ya kucheza mechi saba bila kufungwa. Ilikuwa ni Novemba 27 ambapo alishuhudia Uwanja wa Selhurst Park ukisoma Crystal Palace 1-2 Aston Villa ambayo inanolewa na Steven Gerrad. Vieira amekuwa…