>

SIMBA YAIPIGIA MATIZI RED ARROWS KWA MKAPA

PABLO Franco, leo Novemba 26 ameongoza mazoezi kwa mara ya kwanza kwa kikosi chake katika Uwanja wa Mkapa. Mazoezi ya leo ni kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ni wa mtoano na unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Itakuwa ni Novemba 28 ambapo mashabiki 35,000 wa Simba wameruhusiwa kuingia kushuhudia mchezo huo. Kwa…

Read More

RED ARROWS WAPINZANI WA SIMBA WANA MCHECHETO

WAPINZANI wa Simba katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Red Arrows imeweka wazi kuwa nia yao ya kusonga mbele katika michuano hiyo huku wakitamba kufanya vizuri wakiwa ugenini. Red Arrows kutoka Zambia Jumapili Novemba 28 watacheza mchezo wao wa kwanza wa mtoano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo wa marudiano unatarajiwa kufanyika Desemba Mosi nchini Zambia ambapo Simba watakuwa ugenini…

Read More

KOCHA HUYU HAPA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

RALF Rangnick mwenye umri wa miaka 63 anatarajiwa kupewa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu kwa muda ndani ya kikosi cha Manchester United akichukua mikoba ya Ole Gunnar Solskjaer ambaye alichimbishwa ndani ya kikosi hicho. Rangnick atapaswa kuweka kando majukumu yake aliyokuwa akiyafanya ndani ya Lokomotiv Moscow ili kuweza kumpokea kocha wa mpito, Michael Carrick ambaye…

Read More