BREAKING:SIMBA YAMTANGAZA MRITHI WA GOMES NI KUTOKA HISPANIA
KLABU ya Simba leo Novemba 6 imemtangaza rasmi Pablo Franco mwenye miaka 41 kuwa mrithi wa mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga kutokana na timu hiyo kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Franco ni raia wa Hispania anachukua mikoba ya Gomes ambaye ni raia wa Ufaransa na alisitisha mkataba wake kwa makubaliano ya pande…