
KUMBE TATIZO LA AZAM FC LIPO HAPA
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo linaitesa timu hiyo kwenye mechi zake za ligi ni kukosa umakini kwenye mechi ambazo wamecheza. Azam FC ilinyooshwa mabao 2-0 dhidi ya Yanga pia ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mechi za awali kabisa msimu wa 2021/22. Ilishinda bao…