AJIBU KUIKOSA SIMBA LEO KWA MKAPA

KIUNGO Ibrahim Ajibu ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC kuna uwezekano asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba zinahitaji pointi tatu muhimu ambapo kwa upande wa Azam FC, Idd Aboubakhari, Kocha wa Makipa wa Azam FC amesema kuwa wanatambua Simba ni…

Read More

BARAZA:TUPO TAYARI KUIKABILI SIMBA

FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaoatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 18. Itakuwa ni Uwanja wa Kaitaba ambapo tayari timu ya Simba imeshawasili Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….

Read More

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga inahitaji kufanya maboresho kidogo kwenye eneo la winga ili kuongeza makali kwenye kikosi hicho. Jina na Chico Ushindi winga mwenye miaka 25 anayekipiga ndani ya TP Mazembe anatajwa kuwa kwenye…

Read More

WACHEZAJI WA AZAM FC WAREJEA KAMBINI TAYARI KWA KAZI

WACHEZAJI wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina  ambao walikuwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars tayari wamejiunga na wengine kambini.Ilikuwa ni jana Novemba 16, siku ya Jumanne walianza mazoezi kuivutia kasi KMC kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Nyota hao ni pamoja na Idd Seleman, Edward Manyama na Lusajo…

Read More

YANGA KUWAFUATA NAMUNGO LEO

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Jumatano, Novemba 17 wanatarajia kusepa Dar kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Vinara hao wa ligi wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 15 Novemba 20 watatatupa kete yao ya sita kwa kusaka ushindi mbele ya Namungo itakuwa Uwanja wa…

Read More