
AJALI YA NDEGE YAUWA WATU 61 BRAZIL
Ndege chapa ATR 72-500 inayomilikiwa na kampuni ya Voepass ilianguka jioni ya jana katika mji wa Vinhedo, wakati ikitokea jimbo la kusini la Parana kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sao Paulo. Juhudi za kuipata na kuitambua miili zilikuwa zinaendelea hadi alfajiri ya leo. Mamlaka ya ajali za anga ya Brazil, CENIPA, imetangaza kuanza…