
ERLING HAALAND, NICO WILLIAMS KUTUA BARCELONA
TETESI za usajili zinasema Barcelona inatarajia kuongeza wachezaji wawili maarufu katika madirisha mawili yajayo ya uhamisho ya kiangazi, Nico Williams mwaka huu na kisha Erling Haaland mwaka 2025. Barcelona imeonyesha nia ya kuwasajili Erling Haaland na Nico Williams, lakini kuna changamoto kubwa za kifedha na kiutaratibu zinazohusika. Kwa Erling Haaland, hatua hii inategemea klabu hiyo…