
BODI YA LIGI KUTOA TAARIFA KUHUSU KARIAKOO DABI MUDA WOWOTE
Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) Karim Boimanda ameweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 yapo vizuri na kuna taarifa nyeti na muhimu zitatolewa muda wowote kuanzia sasa. Yanga SC ni wenyeji wa mchezo huo namba 184 ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo watakipiga…